All
Search
Images
Videos
Shorts
Maps
News
More
Shopping
Flights
Travel
Notebook
Report an inappropriate content
Please select one of the options below.
Not Relevant
Offensive
Adult
Child Sexual Abuse
Azam TV Live Online
Ayo TV
Maandamano TZ
Ally Kamwe
Habari Za
Leo Tanzania
Wananchi Forum
Bullets vs Wanderers Highlights
Millard Ayo TV
Vurugu
Tanzania
Dark TV
Uchaguzi
Millard Ayo
Leo
WAC vs Kotoko Live
Chadema
Mandamano Ya
Uchaguzi 2025
Length
All
Short (less than 5 minutes)
Medium (5-20 minutes)
Long (more than 20 minutes)
Date
All
Past 24 hours
Past week
Past month
Past year
Resolution
All
Lower than 360p
360p or higher
480p or higher
720p or higher
1080p or higher
Source
All
Dailymotion
Vimeo
Metacafe
Hulu
VEVO
Myspace
MTV
CBS
Fox
CNN
MSN
Price
All
Free
Paid
Clear filters
SafeSearch:
Moderate
Strict
Moderate (default)
Off
Filter
Azam TV Live Online
Ayo TV
Maandamano TZ
Ally Kamwe
Habari Za
Leo Tanzania
Wananchi Forum
Bullets vs Wanderers Highlights
Millard Ayo TV
Vurugu
Tanzania
Dark TV
Uchaguzi
Millard Ayo
Leo
WAC vs Kotoko Live
Chadema
Mandamano Ya
Uchaguzi 2025
0:53
Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka huu zimeanza rasmi leo, kwa mujibu wa ratiba ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) - Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinazindua rasmi kampeni zake Agosti 28, 2025 Mwenyekiti wa CCM na mgombea urais wa Samia Suluhu Hassan, ataongoza uzinduzi huo akifuatana na mgombea mwenza wake, Emmanuel Nchimbi. - Mwandishi wa BBC @bosha_nyanje yupo Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam - - - #bbcswahili #tanzania #uchaguzi2025 #uchaguzTZ #siasa #kampe
15.6K views
8 months ago
Facebook
BBC Swahili
Yaliyomo kwenye DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Leo Mchana | Oktoba 29, 2025 | Swahili Habari: - Watanzania wanapiga kura leo katika uchaguzi mkuu ambao Rais Samia Suluhu Hassan anachuana na wagombea kutoka vyama vidogo. Wapiga kura watamchagua rais, wabunge, madiwani na wawakilishi - Baadhi ya watu wajitokeza kuandamana katika baadhi ya maeneo ya Tanzania kupinga uchaguzi #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast Ukitaka kupata habar
3.4K views
6 months ago
Facebook
DW Kiswahili
2:39
Wananchi wa Tanzania wamejitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi mkuu leo, huku vituo vya kupigia kura vikiendelea kufunguliwa alfajiri. Hali ya kisiasa nchini imekuwa chungu kutokana na kukamatwa kwa kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu na watetezi wa haki jambo lililoshutumiwa na viongozi wa kimataifa kama ukiukaji wa haki za binadamu. #Yanayojiri #KTNAT35 | KTN News Kenya
4.7K views
6 months ago
Facebook
KTN News Kenya
3:01
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Tanzania Oktoba 29, 2025, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema kwamba maandalizi ya kuratibu zoezi hilo yapo vizuri na iko tayari kusimamia zoezi la upigaji wa kura ya mapema siku ya kesho, Oktoba 28, 2025. Akizungumza katika mahojiano ya moja kwa moja na TBC katika kipindi cha Aridhio, Mkuu wa Mipango ya Utumishi na Utawala (ZEC), Saadun Khamis, amesema zoezi la upigaji kura ya mapema litahusisha jumla ya vituo 50 vilivyopo Unguja na Pemba, ambapo kila jimbo linatar
5.9K views
6 months ago
Facebook
TBConline
3:58
Matokeo ya uchaguzi Tanzania: Maandamano zaidi yashuhudiwa nchini Tanzania Serikali yaagiza wafanyakazi kufanya kazi nyumbani Kafyu yatangazwa kuanzia saa kumi na mbili jioni Matokeo yaonyesha Samia Suluhu anaongoza kwa kura #SemaNaCitizen | Citizen TV Kenya
86.2K views
6 months ago
Facebook
Citizen TV Kenya
2:51
Matokeo ya Uchaguzi wa Spika leo bungeni, Zungu amechaguliwa kuwa spika wa Bunge la Jamuhuri wa muungano wa Tanzania. | Habari 24
5.2K views
6 months ago
Facebook
Habari 24
2:06
Uchaguzi mkuu wa Tanzania: Rais Samia anatetea kiti chake kwa Chama Cha Mapinduzi Wapinzani wakuu walinyimwa fursa ya kushiriki uchaguzi Raia wa Tanzania zaidi ya milioni 37 wanapiga kura leo #SemaNaCitizen | Citizen TV Kenya
24.2K views
6 months ago
Facebook
Citizen TV Kenya
1:42
Nchi ya Tanzania ilifanya uchaguzi Oktoba 29. Na utakumbuka chama kikuu cha upinzani CHADEMA kilikosa kushiriki. Lakini kabla uchaguzi huu, kuna video mitandaoni kwenye Facebook, X lakini pia nakala zilizochapishwa zikidai kiongozi wake Tundu Lissu alishinda kesi ya uhaini dhidi yake, lakini alichagua kukaa rumande hadi uchaguzi utakapokamilika. Kwa mingi zaidi, sikiliza makala ya #ukweliauuongo leo Ijumaa 18:20 jioni Afrika Mashariki. #tanzania #SamiaSuluhuHassan #TUNDULISSU | RFI Kiswahili
4.3K views
6 months ago
Facebook
RFI Kiswahili
2:50
Uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025 ulikiuka maadili ya kidemokrasia na uligubikwa na dosari chungu nzima. Ripoti ya Umoja wa Afrika- @africanunion_official ambayo imeituhumu Tanzania kwa kukiuka maadili na kanuni za kidemokrasia hususan katika kipindi cha uchaguzi uliokamilika. - "Tanzania inahitaji kuwajibikia wananchi wake kuheshimu maoni tofauti ya kisiasa, kuimarisha ushiriki wa wananchi katika michakato ya kisiasa”- Ripoti ilitoa mapendekezo. Rais Samia Suluhu Hassan aliyetangazwa mshindi na as
699K views
6 months ago
Facebook
BBC Swahili
1:48
Bunge la Ulaya leo Novemba 27, 2025, linatarajiwa kujadili azimio muhimu linalohusiana na matukio ya Oktoba 29, 2025, siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania, huku likisisitiza masuala ya haki za binadamu, ikiwemo kesi ya kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu. Azimio hili la rasimu, ambalo lilitolewa Jumatano, linachukulia uchaguzi huo wa hivi karibuni kuwa "sio huru wala wa haki," wakikosoa shughuli ya upigaji kura iliyokosolewa pia na waangalizi kama vile Umoja wa Afrika (AU) na
97.6K views
5 months ago
Facebook
Swahili Time
0:41
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuapishwa rasmi leo Jumatatu Novemba 3 Jijini Dodoma. Kupitia taarifa ya serikali kwenye runinga ya kitaifa ya TBC, Katibu mkuu kiongozi alisema sherehe ya uapisho itafanyika katika uwanja wa kijeshi . - Rais Samia alitangazwa mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29 kwa kujinyakulia asilimia 97.66 ya jumla ya kura zote zilizopigwa. Hata hivyo ushindi wake umepingwa na chama kikuu cha upinzani CHADEMA kikisema ni kejeli kwa demokrasia. Aidha
105.2K views
6 months ago
Facebook
BBC Swahili
1:49
#VIDEO Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) amesema kuwa zoezi la kura ya mapema limeanza leo kwa utulivu na kuzingatia misingi ya sheria, licha ya changamoto ya mvua kunyesha katika maeneo mbalimbali ya Unguja na Pemba. Akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya Tume yaliyopo Maisara, Mwenyekiti huyo alibainisha kuwa zoezi hilo ni hatua muhimu kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 na linafanyika kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi ya Zanzibar #EastAfricaTV #Uchaguzi2025 | E
13.4K views
6 months ago
Facebook
East Africa TV
0:47
#UCHAGUZI2025 Chama Cha Mapinduzi, CCM kinafanya uzinduzi rasmi wa kampeni zake kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe, Dar es Salaam. Akizungumza jana Agosti 27 kuelekea uzinduzi huo mbele ya waandishi wa habari, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Ndugu.Kenani Kihongosi aliwaalika watu wote na kuongeza “Kampeni zetu zitakuwa za kistarabu na zenye amani na katika mkutano wa kesho tutawanadi wagombea wote wa ubunge na madiwani”. #EastAf
49.9K views
8 months ago
Facebook
East Africa TV
1:59
#HABARI: Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele, ametembelea na kujionea maandalizi ya ujenzi wa vituo 83 kati ya 90 vya wapiga kura vilivyotengwa maalum kwa wakazi wa zilizokuwa Kata za Ilangu, Ipwaga, Bulamata na Mishamo, zilizopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika, mkoani Katavi, ambapo Kata hizo zilifutwa na Waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa kwa mujibu wa Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya), Sura ya 287. Jaji Mw
48.4K views
6 months ago
Facebook
ITV Tanzania
5:08
CUF Yakataa Matokeo ya Uchaguzi 2025, Yapendekeza Serikali ya Mpito na Kumkumbusha Rais Samia Tuzo ya Mo Ibrahim Chama cha Wananchi (CUF) kimetoa tamko dhidi ya mwenendo na matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kikieleza kuwa uchaguzi huo haukuwa huru, wa haki, wala wa kuaminika, huku kikimtaka Rais Samia Suluhu Hassan kutafakari upya dhamira yake ya uongozi na kuzingatia misingi ya demokrasia. Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Haruna Lipumba, akiongea na waandishi wa habari leo, Nov 5, 2025
342.6K views
6 months ago
Facebook
Mzalendo HabariTz
2:56
Nchini Tanzania bado kunajadiliwa athari za maandamano ya baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, ambayo pamoja na mambo mengine yasababisha vifo vya idadi kadhaa ya watu nchini humo. DW, imezungumza na baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari nchini humo akiwemo Deudatus Balile wa gazeti la Jamhuri, Mbarack Islam wa Raia Mwema, Aisha Dachi wa Habari Leo, Emma Mbuguni wa Majira na Ezekiel Kamwaga wa Azam TV ambao kwa namna tofauti wanajibu swali la kwa nini vijana wa Tanzania walishiriki maandamano. | DW
169K views
6 months ago
Facebook
DW Kiswahili
4:41
Mgombea Urasi wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasili Mkoani Arusha kwaajili ya kufanya kampeni za kuomba Ridhaa ya kuchaguliwa katika uchaguzi mkuu wa oktoba 29, 2025. Katika Mkutano wake na Vyombo vya Habari kwenye soko namba 68 eneo la Kilombero Katibu wa itikadi, siasa na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Arusha Saipulani Ramsey amesema Mgombe Dkt Samia atafanya mikutano yake kwa muda wa siku 3 kuanzia Oktoba mosi siku ambayo atawasili. #siasaleo #kampeni | Leo TV On
1.5K views
7 months ago
Facebook
Leo TV Online
1:54
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepishwa kwa muhula wa pili chini ya ulinzi mkali, kufuatia uchaguzi uliokumbwa na ghasia na kupingwa na upinzani. - Hafla ya uapisho wake huo zinafanyika katika uwanja wa kijeshi katika mji mkuu wa Dodoma. Samia alitangazwa mshindi Jumamosi kwa asilimia 98 ya kura, matokeo ambayo yamepingwa na chama kikuu cha upinzani CHADEMA. - - - #uchaguzi2025 #bbcswahili #tanzania #maandamano | BBC Swahili
296.4K views
6 months ago
Facebook
BBC Swahili
3:19
Leo visiwani Zanzibat wainapiga kura za mapema, zinazohusisha makundi fulani maalum, hasa maofisa wa usalama na wale wa uchaguzi watakaokuwa watumishi muhimu katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika kesho tarehe 29 Oktoba. @sammyawami yupo visiwani humo kufuatilia uchaguzi na ametuandalia taarifa hii. 🎥 @eagansalla_gifted_sounds - - #bbcswahili #tanzania #uchaguzimkuu2025 #zanzibar | BBC Swahili
44.4K views
6 months ago
Facebook
BBC Swahili
9:13
WAKILI MADELEKA APEWE ULINZI "KAMA WANAMPENDA RAIS SAMIA, WAJIUZULU..."
4.7K views
3 weeks ago
YouTube
HARAKATI TV
8:09
HEHCE ATOA ONYO "LOLOTE LITAKALO mpata LISSU HATUTAKUBALI " BILA UWOGA MAHAKAMANI...
7.6K views
1 month ago
YouTube
HARAKATI TV
8:03
WAZIRI KATAMBI KAJILIPUA "RAIS WAPO WANAOKUROGA USIOGOPE ACHA WASEME..."
5.4K views
1 week ago
YouTube
HARAKATI TV
9:45
MBUNGE ADO APEWA ONYO ZITO BUNGENI SPIKA ZUNGU AFUNGUKA MAZITO
7.1K views
1 month ago
YouTube
HARAKATI TV
2:07:43
LIVE : RIPOTI NZITO YA LHRC YAFICHUA UKWELI WA OKTOBA 29 – na yote ya 2025
43.9K views
1 month ago
YouTube
HARAKATI TV
9:20
WAZIRI MKUU ASHINDWA KUJIZUIA " PUMBAVU | chana hiyo BARUA nikiwa naona" ATOA MAAGIZO MAZITO
101.7K views
2 weeks ago
YouTube
HARAKATI TV
8:18
HATA NIKIFA LEO - BABA LEVO atoa kauli nzito, Ado ashindwa kujizuia majibu ya Mtoto wa Rais Samia
11.6K views
1 month ago
YouTube
HARAKATI TV
17:13
BUNGE LACHAFUKA: Ado Shaibu Aitikisa Sakata la Polepole, bungeni Waziri KATAMBI Amjibu kwa kina
99.2K views
1 month ago
YouTube
HARAKATI TV
1:13:32
LIVE: LISSU KAACHIWA HURU? NINI KIMETOOKEA MAHAKAMANI? HUU HAPA UAMUZI WA MAHAKAMA
4.9K views
3 weeks ago
YouTube
HARAKATI TV
6:08
I DID NOT EXPECT THIS TO HAPPEN WHEN I WAS THE LEADER OF THE COUNTRY - PRESIDENT SAMIA
10.3K views
4 weeks ago
YouTube
HARAKATI TV
3:33
Ahadi za Uchaguzi 2025 Tanzania: Zinatekelezeka?
715.4K views
7 months ago
TikTok
bbcnewsswahili
See more
More like this
Feedback